Mokiwa Chedy Dominic
Think big, act simple. Happiness is hidden in simple things

About
Our mission is to help people discover the hidden treasure in doing small acts of kindness. Health is capital, and health is built by considering the smallest things. Think big, act simple. Happiness is hidden in simple things.
Tag: tanzania
-

Madhara ya Vyakula vya Kukaangwa kwa Afya
Athari za Kula Vyakula vya Kukaangwa Kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya vyakula viilivyokaangwa. Mtindo huu wa maisha umepelekea ongezeko la magonjwa mengi yasiyoambukiza na yanayoambukiza pia. Jamii ya mwanadamu imeshuhudia mabadiliko makubwa ya mwanadamu kitabia na kiutamaduni, mabadiliko hayo yamegusa pia mtindo wa chakula. Utafiti unaonesha kuwa mwanadamu ndiye kiumbe anayeongoza kwa magonjwa… Read.
-

Vyakula Bora kwa Watoto wa Miezi Sita: Vitu Muhimu kwa Afya ya Mtoto
Chakula cha Mtoto Mchanga wa Miezi Sita Kama tuliyoona katika somo lililotangulia, Shirika la UNICEF linashauri kuwa watoto wachanga wanapaswa kunyonyeshwa kama wanavyohitaji. Yaani mara kwa mara kulingana na wanavyojisikia mtoto anavyojisikia. Kuanzia umri wa miezi 6, watoto wanapaswa kuanza kula vyakula salama. Wanapaswa kula kiasi cha kutosha cha vyakula vya ziada huku wakiendela kunyonya… Read.
-

Athari za Fikra Chanya na Hasi kwa Mwili
Sheria zinazotawala mwili na akili Katika ulimwengu wa sayansi, kuna elimu inayoitwa Auxology. Ni elimu inayohusu makuzi ya mwanadamu. Inashughulikia vichocheo au kemikali za mwilini (Hormones). Pia, inachunguza athari ya kila kichocheo kwa ukuaji wa mwili. Sayansi hii huhusisha Nyanja mbalimbali zinazohusika na ukuaji. Mifumo ya vichocheo, au hormones, na mwili kwa ujumla inachunguzwa. Jamii… Read.
-
Mkristo Na Usimamizi Wa Fedha
Mungu wetu ni mwenye upendo mkubwa sana kwa watu wake, Kabla hajamuumba Mwanadamu alijua kuwa kabisa Mwanadamu huyu anatakiwa kupata mahala pa kufikia pamoja na Rasilimali ambazo zitamsaidia kumudu maisha ya kila siku. Katika Kitabu cha Mwanzo 1, kinaeleza Uumbaji wa Mungu kwa muda wa siku sita, na Uumbaji huu wa Ulimwengu hauzi na Mwanadamu… Read.








You must be logged in to post a comment.